Obamaeli Rutajecha
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 230
- 274
Wakuu,habarini za jumapili..
Natafuta kina dada watatu wa kusaidia kazi majumbani,eneo la kufanyia kazi ni moshi mkoa wa kilimanjaro.
Mshahara ni maelewano(utakao mridhisha mwajiriwa)
Asanteni sana!!!