Natafuta Vyombo vya muziki

Natafuta Vyombo vya muziki

DIFFENDA

Senior Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
124
Reaction score
53
Habari, nahitaji power amplifer zenye uwezo wa kupush double bezi 2 za 2 ohms .mwenye nazo anipm.
 
nipo singida budjet yangu ni ni milin 2 kwa amplifaya kubwa 2 zenye uwezo wa kusukuma bass ohM2 hadi 0
 
hvo vitu vipo sijajua huko utavipataje! kuna gari za mizigo zinazofika huko...?..ni pm namba yako
 
cd player hapana mkuu ninayo denon d4500.ninachohtaji kwa sasa ni amplifier kwa ajili ya bezi ohms2
 
habari, nahitaji power amplifer zenye uwezo wa kupush double bezi 2 za 2 ohms .mwenye nazo anipm.


salaams ,mimi nipo nje ya tanzania , ukishindwa kuvipata bongo ni inbox nikutafutie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom