Nipo DarMaelezo hayajakamilika upo mkoa gani,PM haitasaidia mkiwa mikoa ya mbali.
Mkuu kanunue kariakoo kule sokoni naona Wana shape aina mbalimbaliNipo Dar
Mikoa ya mbali ni mikoa ipi? Nahuo "umbali" unapimwa kwa kucompare na wapi? na ni ipi mikoa ambayo ni ya "karibu" na huo ukaribu wake unakua "karibu" kwa kucompare na wapi?Maelezo hayajakamilika upo mkoa gani,PM haitasaidia mkiwa mikoa ya mbali.
Mikoa ya mbali ni mikoa ipi? Nahuo "umbali" unapimwa kwa kucompare na wapi? na ni ipi mikoa ambayo ni ya "karibu" na huo ukaribu wake unakua "karibu" kwa kucompare na wapi?
Nauliza tu.
Nimekuuliza swali nawe unaniuliza swali?!!!Kwanini mikoa mingine inaitwa mikoani ila sio dar? Najibu tu
Nimekuuliza swali nawe unaniuliza swali?!!!
Aisee nimependa uchambuzi wako kwa njia ya maswaliMikoa ya mbali ni mikoa ipi? Nahuo "umbali" unapimwa kwa kucompare na wapi? na ni ipi mikoa ambayo ni ya "karibu" na huo ukaribu wake unakua "karibu" kwa kucompare na wapi?
Nauliza tu.
Pamoja mkuu TayukwaAisee nimependa uchambuzi wako kwa njia ya maswali