umeonaee! acha nisubir watakujaHahahah,maana nilipoona hii post cha mwanzo niliangalia nani ka post.
Nilipoona ni Frank at work nikawa mpole.
Najua mganga wako mzuri atatokea tu mtu atakuuzia.
Duh,kwa mpango huu sasa Dar foleni haiishi,maana hata yaje magari ya mwendo kasi flying overs,train ya mwakyembe,na meli za kwenda bagamoyo foleni haiinshi.juzi nlikua gereji nafanya service,jamaa wameuziana gari duet milioni 1 jamaa aliyenunua akufunga engine mpya laki 8+laki 2 deni tra! so mkuu anaweza kubahatisha,but ujiandae kwa marekebisho.
ipo tutafane bt bei 3.5 mil starlet
0714812375
We king'ast hyo ist ina matairi ama!
Mhh! SiitakiIkiwa haina matairi inakuwa nyumba ya kuku kaka. Ina matairi ila sasa ndo kama ulimi wa umbwa kwi kwi kwi