Kevin kapumbu
New Member
- Dec 9, 2024
- 1
- 1
Wakubwa, natafuta mahali panapatikana spea za Samsung S10,S9,. Shida ni kioo tu
Mkuu bora ununue simu nyingine tu vioo vya simu hizo ni kati ya laki mbili na nusu mpk laki tatu ufundi elfu kumi sasa chaguo ni lako.Wakubwa, natafuta mahali panapatikana spea za Samsung S10,S9,. Shida ni kioo tu