Natafuta vijana wa IT

thewajibu

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
236
304
Habari wana JF,

Teknolojia imekuwa nguzo kubwa ya mafanikio katika karne kwani watu wengi duniani imewapa utajiri mkubwa ndani ya muda mfupi.

Lengo la kuandika uzi huu ni kutafuta vijana wenzangu wana IT na hata wasio wana IT lakini wenye nia kubwa ya kijiajili katika sekta hii muhimu ikiwa sasa au baadae.

Miongoni mwa mambo ya kufanya ni kutengeneza Ecommerce, mtandao wa kijamii, Online payment system na mambo mengine tutakayoyajadili.

Mashariti ya kujiunga na hiki kikundi lazima uwe chini ya miaka 26
Uwe unapenda kutoa huduma ili upate pesa siyo pesa kwanza huduma baadae uwe mtu usiye na msamiati wa kushindwa kwenye maisha yako.

Napatikana Whatsapp namba 0753366253

Ahsante.
 
Umeweka umri kwakujua kabisa watu wenye umri huo ni wanaodanganyika kirahisi kwa mambo kama hayo subili wanakuja
Umri huo kwa sasa ni watu wanaojielewa sana ingekuwa karne 19 ningekubali maneno yako na nakuomba uondoe mawazo hayo hasi juu ya umri huu
 
Msamiati wa kwanza umeuweka wewe, umri huo wengi wenu bado mnasoma, wengine above 30 na wangependa kujiunga, huoni umewawekea msamiati wa kushindwa?
Hapana mkuu sina lengo hilo kabisa na pia hawa ambao wako masomoni ni fursa kwao kwa ss na baada ya masomo hawatopotezs muda kutafuta ajira
 
Habari wana JF,

Teknolojia imekuwa nguzo kubwa ya mafanikio katika karne kwani watu wengi duniani imewapa utajiri mkubwa ndani ya muda mfupi.

Lengo la kuandika uzi huu ni kutafuta vijana wenzangu wana IT na hata wasio wana IT lakini wenye nia kubwa ya kijiajili katika sekta hii muhimu ikiwa sasa au baadae.

Miongoni mwa mambo ya kufanya ni kutengeneza Ecommerce, mtandao wa kijamii, Online payment system na mambo mengine tutakayoyajadili.

Mashariti ya kujiunga na hiki kikundi lazima uwe chini ya miaka 26
Uwe unapenda kutoa huduma ili upate pesa siyo pesa kwanza huduma baadae uwe mtu usiye na msamiati wa kushindwa kwenye maisha yako.

Napatikana Whatsapp namba 0753366253

Ahsante.
Watanzania Kufanya Kazi Kama Kundi Tena La Vijana Ni Ngumu, Maisha Hayajatupiga Sana. Labda Wakenya Ungefanikiwa Fasta
 
Kwa umri huo bila shaka utaki ma computer engineer yani wewe unaweka kigezo cha umri kwa ishu gani jaribu kutumia akili
 
Haya mambo ya Vikundi vya watu kutafuta wataalamu wa fani fulani fulani wawe pamoja kwa kujitolea wakati tayari wachache mmesajili hicho kikundi Maana yake ni nini.....???!!! na kwanini vimekuwa vingi sana Now days........????? kulikoni.....????? BRELA mnayajua haya.........?????!!!!
 
Kwamba kutumia akili mimi sitaki maengineer najua wengi wanavyeti tu ujuzi pembeni nachohitaji watu wenye nia teknolojia haina mziefu hukimbia kila saa
 
Umri huo kwa sasa ni watu wanaojielewa sana ingekuwa karne 19 ningekubali maneno yako na nakuomba uondoe mawazo hayo hasi juu ya umri huu

Wewe ndio mwenye mawazo hasi mkuu, Kilichofanya uamini wenye umri above 30 hawafai ni nini ??. Mimi natinga 30 mwaka huu na nimeshaanza kujiandaa na issue kama hiyo..so unataka kusema sitasucceed au..
Wewe ukifika 30 hiyo project ndio itakuwa mwisho au??

Unasema hutaki mtu mwenye msamiati wa kushindwa wakati wewe umeshashindwa tayari kwa kuhofia umri
 
Haya mambo ya Vikundi vya watu kutafuta wataalamu wa fani fulani fulani wawe pamoja kwa kujitolea wakati tayari wachache mmesajili hicho kikundi Maana yake ni nini.....???!!! na kwanini vimekuwa vingi sana Now days........????? kulikoni.....????? BRELA mnayajua haya.........?????!!!!

Hahahaaa! anatafuta freelancers..Nilienda kuomba kazi somewhere..head wa hiyo dept akataka nimwandikie project proposal kama 5 hv ndio ajiridhishe kama niko vizuri...hahahahaha
 
Wewe ndio mwenye mawazo hasi mkuu, Kilichofanya uamini wenye umri above 30 hawafai ni nini ??. Mimi natinga 30 mwaka huu na nimeshaanza kujiandaa na issue kama hiyo..so unataka kusema sitasucceed au..
Wewe ukifika 30 hiyo project ndio itakuwa mwisho au??

Unasema hutaki mtu mwenye msamiati wa kushindwa wakati wewe umeshashindwa tayari kwa kuhofia umri
Kwamba ndo unajiandaa wewe kaza mkuu mimi nishaanza tayari na nachukulia umri kama fursa
 
Back
Top Bottom