NATAFUTA VIDEO CARD

NATAFUTA VIDEO CARD

van xoussam

Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
29
Reaction score
13
jamani naombeni msaada kwa anaejua duka au mahali ambapo na weza pata vifaa vya computer niko dar nataka kwenda k.koo kutafuta video card
 
mkuu unatakiwa ujue haya kwanza,

-graphics card nyingi za chini ya laki moja ni dhaifu kuliko gpu zinazokuja na processor hivyo kuwa makini hapa
-kariakoo sijawahi kuona graphic card mpya ya maana ambayo inauzwa kwa bei inayoeleweka nyingi zinauzwa ghali kuna wakati hata mara 8 ya bei halisi

njia rahisi ni kutafuta machinga complex au maduka ya desktop used, graphic card huja na desktop wao wanazitoa.

una sh ngapi na unataka gpu ya nini?
 
lete 1.8k nikupe gtx 630 nvidia mpyaaaaa katika boxi
 
Back
Top Bottom