Heading yako ungeweka kwamba..... NINATAFUTA PIKIPIKI YA KUCHAJIHabari
Kama unauza piki piki, kuna hivi vidogo vya mafuta acha vile vya kuchaji.
Naomba uweke mawasiliano tufanye biashara, iwe kipya au used
Sina picha ila kwa wahusika mmeelewa nilichoeleza kama mteja
Samahani mkuu....Asante kwa kunisahihisha, napataje hiyo bidhaa