robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 800
- 1,301
Baada ya uongozi mzima wa nchi kuamini kwamba VETA ndo suluhisho la matatizo ya nchi, ningependa kujaribu kutafuta ajira kule Bungeni. Bungeni bado tuna watu wanajua kusoma na kuandika tu! Hata kuhesabu ni shida. Nimeona ni sehemu nzuri ya kwenda.
Kwa imani ya viongozui wakuu wa nchi ndani ya CCM, sasa nami natafuta VETA ya Ubunge. Iko wapi wa-TZ wenzangu?
Kwa imani ya viongozui wakuu wa nchi ndani ya CCM, sasa nami natafuta VETA ya Ubunge. Iko wapi wa-TZ wenzangu?