Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Speed HSDPA, 21 Mbps; HSUPA, 5.76 Mbps
Kwa mujibu wa GSMArena hii ndio speed ya kimeo changu
Je inamaanisha nagawa ipi kwa 8 ilinijue siwezi kuzidi hapo kwenye downloading?
Ni simu naitumia kwa wifi
Njunwa jamaa wako hadipoinunua badi i would like to place my offer on the table.
Hapo kwenye hiyo modem ukisoma vizuri wanakwambia "If you are going to use this for LTE first know your ISP's Frequency"
In short hiyo modem ni kwamba utaifaidi tu kwa 42Mbps ila hizo 150Mbps hata smile hawana
Oh sorry typing error. Nilimaanisha jamaa wako uliompa asipoinunua basi tutaongea business.
Nikiinunua hyo modem naweza kuichakachua na kuwa universal? Na nikiunganisha kwenye mtandao napata speed tofauti sawa na wengine?
Kama upo Dar chapulisha nunua hiyo ni Universal tayari lakini haina Guarantee kwamba utapata speed tofauti na wenzako...
Mimi ninayo ya 100Mbps inatwanga kuanzia SMILE mpaka BOL/SMART lakini sijaona tofauti na modem za kawaida nikiitumia na Vodacom probably vodacom wabovu nilipo ila kwa Airtel na Tigo...sana sana Airtel imenifanya nisijutie hela yangu nilolipia maana napata speed mpaka 24Mbps lakini average ni 17Mbps ambako kwa modem ya 7.2Mbps hata iweuke vipi haiwezi fika hata siku moja
Kiongozi,niangalizie BlackBerry Z 10 naitumia kwa line ya airtel ina uwezo wa kiasi gani,maana ipo fast kuliko modem ya vodacom ambayo nimeacha kuitumia kwakuwa ipo very slow.
Inawezekana iko Fast kweli maana naona ina LTE bila shaka kwa 3G speed itakua na 42Mbps
Ingia hapo chini u-explore
BlackBerry Z10 - Full phone specifications
mkuu ka vp nfanyie order ya 28.8 Mbps kwa modem yoyote utayopata
Mi nilinunua kipindi kile cha Vodafone Expo 15,000/=@ ila sijui kama mpaka sasa wanayo hiyo stock.
Hata mimi nilinunua ktk hiyo expo pale m city ila nikabadilishana na jamaaa yangu ambae aliichangamkia sana..kumbe sikuelewa kinacho najuta though natumia ya tigo ila iko poa kiasi
Duh pole Mkubwa hiyo uliyonayo sasa ni 7.2Mbps ukiziunga 2 kama hiyo ndo unapata speed ya vodafone K3805-z.
Nadhani mlibadilishana kwa kutokujua au uliona haichakachuki au ulivutiwa na umbo la Huawei e303
Kaka ilikua haichakachuliki nikajaribu DC unlocker icera bado ikagoma nkaona isiwe taabuuu.....najuta
Dah zile haziko locked bali Dashboard ya VMB(vodafone Mobile Broadband) inayokuja na modem ndiyo inazuia kusoma line zingine pia join Air zaifanyi kazi kwa ZTE icera.
Dawa pekee ni Dasboard/connection Manager ya O2 yaani mpaka raha .
So hiyo dashboard naipatajeee au nkigugo naipata????