Latoya Lassoya
Member
- Sep 8, 2018
- 84
- 67
- Thread starter
-
- #41
Labda kwa kifupi tuu, Mimi na mwenzangu hatufanyi vikao na hatuna Kamati, hicho ni kiasi kidogo tulichojiwekea wenyewe ili kufanikisha swala letu, hatuna watu wa kutuwezesha hivyo, na ungesoma vizuri juu nimesema ni joint wedding inamaana hata yeye anaweza kufatilia mtu wa Mapambo wakati Mimi nafatilia ukumbi.harusi ni ya wanaume.. nashangaa ukumbi unatafutwa na mdada..
harusi za budget kubwa huwa hazijagi jamiiforums humu kutafuta ukumbi au msaada wa huduma yeyote...
maana kila kitu kinajulikana hata instagram na ukiuliza mtaani wanaeleweka nani watoa huduma wazuri..
sitaki kuamini kamati iliyokusanya milioni 36 haijitambui majukumu yake na kumwachia bibi harusi kazi ya kutafuta ukumbi na huduma zingine huku harusi ni jukumu lao kamati na familia ya mwanaume,,,,hata ukumbi wategemee msaada wa jamii forums..
mimi ningemuelewa kama angesema anatafuta ukumbi nafuu.. ila ukumbi wa harusi yenye budget milion 36 sizani kama ni kitu cha kuwaza sana...
sababu kumbi nzuri nyingi ni around 2m tu..
Asante Kwa kumjibu ndivyo nilivyomjulisha, sina kamati, sihitaji mchango wa mtu wa kipesa, nahitaji mchango wa Mawazo, na tumeamua hivyo Mimi na mwenzangu.Si harusi zote zinafanywa na Wanaume....
Si harusi zote zina changiwa na Ndugu na Marafiki....
Si harusi zote zina Manakamati....
Ukumbi utoe 5.7m kwa watu 400 (mind you, ukiongeza mtu ikavuka 400 itakuwa 11.4m)
MC kwa Mlimani City wanachaji 3m+, mapambo ni almost 4m. Vinywaji, misosi nk.
Mlimani City usipachezee kabisa, 40 inaweza kukatika na ukadaiwa.
Asante sana naweka kwenye list yangu nitaenda kupaangaliaNenda Budget kunduchi hautojutia harusi yako.
Shukrani sanaYes, huyu Mirado inamfaa sana, ndo nilisahau jina lake hii.
Pia hata GM Elegance opposite na BigBonn Sinza Mori inaweza kumfaa.
Redhall,Nguruko na Shekina yote ipo makonde mbezi beach nenda kaiangalie pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaenjoy sana maana ni karibu na ufukweni ukitaka picha zile za beach,usalama wako na wageni wako ndio kipaumbele chao.Bustani ya kisasa kwa ajili ya picha ipo pia.Nenda kajionee mwenyewe.
Wow! Asante sana nitapatembeleaUtaenjoy sana maana ni karibu na ufukweni ukitaka picha zile za beach,usalama wako na wageni wako ndio kipaumbele chao.Bustani ya kisasa kwa ajili ya picha ipo pia.Nenda kajionee mwenyewe.
Asante Kwa kumjibu ndivyo nilivyomjulisha, sina kamati, sihitaji mchango wa mtu wa kipesa, nahitaji mchango wa Mawazo, na tumeamua hivyo Mimi na mwenzangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende Tembon garden mbezi kimara.utapenda na roho yakoNaombeni msaada kwa anayefahamu ukumbi au bustani nzuri ya kufanyia Harusi dar es salaam, yenye uwezo wa kuingiza watu 450-500 (joint wedding). Isiwe na masharti sana ya kuchukua kila kitu hapo hapo, wahusika watatokea Tabata na upanga. Natanguliza shukrani kwa majibu nitakayopata
Sent using Jamii Forums mobile app
Joint wedding seems vyuma vimetaiti kwa nn msipige ndoa ya mkeka tu kama ndugu zetu, chai na maandazi kwisha kazi.