Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Samahani mkuu nilikuwa nimelala, ndiyo pamekucha huku nitakuwa Tanzania tar 10 February
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana, Asante Kwa ushauri piaUmuhimu wa services kama hizo kuwa hapo hapo inapunguza migongano kwa wana kamati kutaka kuleta watu wao ili wapige 10%, pia mfano vinywaji vikiisha store iko around mnaongea vinaongezeka.
Kumbi nyingi zinajitahidi sana kwenye vyakula na mapambo siku hizi kwa sababu za kiushindani, hivyo usiwe na wasiwasi kuhusu hilo swala.
Advise zaidi: kumbi zote utakazoenda kuvisit nenda na mtarajiwa wako ili mfanye chaguo pamoja.
Kwa location ya wageni kutokea Upanga na Tabata, nadhani Sinza inaweza kuwa Centre nzuri, kuna kumbi kama Deluxe (iko Kijiweni), kuna ukumbi uko opposite na Big Bonn (Sinza Mori), pia kuna ukumbi uko barabara ya kutokea Sinza Makaburini kuelekea Kobil (Sam Nujoma), siukumbuki jina vizuri ni kitu kama Elegance or so. Hakikisha unatembelea hizo kumbi, moja kati ya hizo kwa budget yenu itakufaa.
Nilishafanya mawasiliano nao, Harusi ya watu 400 ukumbi ni 5.7m wakiongezeka hata wawili wakawa 402 ni 11.7m, nikaona kwa budget yangu ndogo nitashindwa, Asante Sana Kwa wazo lako
Nilishafanya mawasiliano nao, Harusi ya watu 400 ukumbi ni 5.7m wakiongezeka hata wawili wakawa 402 ni 11.7m, nikaona kwa budget yangu ndogo nitashindwa, Asante Sana Kwa wazo lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Bajeti ndogo kivipi wakati umesema una 36 millions. Sasa kutoa 5.7 million kuna effect gani.
Si harusi zote zinafanywa na Wanaume....harusi ni ya wanaume.. nashangaa ukumbi unatafutwa na mdada..
harusi za budget kubwa huwa hazijagi jamiiforums humu kutafuta ukumbi au msaada wa huduma yeyote...
maana kila kitu kinajulikana hata instagram na ukiuliza mtaani wanaeleweka nani watoa huduma wazuri..
sitaki kuamini kamati iliyokusanya milioni 36 haijitambui majukumu yake na kumwachia bibi harusi kazi ya kutafuta ukumbi na huduma zingine huku harusi ni jukumu lao kamati na familia ya mwanaume,,,,hata ukumbi wategemee msaada wa jamii forums..
mimi ningemuelewa kama angesema anatafuta ukumbi nafuu.. ila ukumbi wa harusi yenye budget milion 36 sizani kama ni kitu cha kuwaza sana...
sababu kumbi nzuri nyingi ni around 2m tu..
Duh okPale ni padogo sana
Kuna ukumbi upo karibu na La charz bar..ni mkubwa na parking nzuri + securityharusi ni ya wanaume.. nashangaa ukumbi unatafutwa na mdada..
harusi za budget kubwa huwa hazijagi jamiiforums humu kutafuta ukumbi au msaada wa huduma yeyote...
maana kila kitu kinajulikana hata instagram na ukiuliza mtaani wanaeleweka nani watoa huduma wazuri..
sitaki kuamini kamati iliyokusanya milioni 36 haijitambui majukumu yake na kumwachia bibi harusi kazi ya kutafuta ukumbi na huduma zingine huku harusi ni jukumu lao kamati na familia ya mwanaume,,,,hata ukumbi wategemee msaada wa jamii forums..
mimi ningemuelewa kama angesema anatafuta ukumbi nafuu.. ila ukumbi wa harusi yenye budget milion 36 sizani kama ni kitu cha kuwaza sana...
sababu kumbi nzuri nyingi ni around 2m tu..
Bajeti ndogo kivipi wakati umesema una 36 millions. Sasa kutoa 5.7 million kuna effect gani.
Mirado hall Pata mfaaYes, huyu Mirado inamfaa sana, ndo nilisahau jina lake hii.
Pia hata GM Elegance opposite na BigBonn Sinza Mori inaweza kumfaa.
Si harusi zote zinafanywa na Wanaume....
Si harusi zote zina changiwa na Ndugu na Marafiki....
Si harusi zote zina Manakamati....
Wacheki mirado hall sinza 0655 888861Bajeti ndogo kivipi wakati umesema una 36 millions. Sasa kutoa 5.7 million kuna effect gani.
Kazi kwake tushamtafunia yeye kumeza tuAfanyie kazi huu ushauri, hata mimi napapa first priority.
Ova.
Haitatoka 5.7 nina watu zaidi ya 450-500 kwahiyo nitatakiwa kutoa 11.7, ndiyo maana naona budget yangu ni ndogoBajeti ndogo kivipi wakati umesema una 36 millions. Sasa kutoa 5.7 million kuna effect gani.