Jickson Nkulikwa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 104
- 52
Mimi ni mwalimu wa stashahada natafuta ufadhili wa shirika, kampuni au binafsi ili nisome Shahada hadi masters aliyetayari nitashukuru sana.0757658783.
Hata mzamini mwenyewe sijui atakuwa nani wa kuvumilia huo uzembe wako katika kuandika.Mimi ni mwl.stashahada.natafuta ufadhili wa shirka,kampuni au binafsi ili nisome Shahada hadi masters.aliyetayari nitashukuru sana.0757658783.
Kuwa mpole utakosa wafadhili. Remember beggers have no choiceAngalia maudhui,kumbuka simu sio ubao au karatasi!