Natafuta ufadhili wa kusomeshwa chuo kikuu

Mimi ni mwl.stashahada.natafuta ufadhili wa shirka,kampuni au binafsi ili nisome Shahada hadi masters.aliyetayari nitashukuru sana.0757658783.
Hata mzamini mwenyewe sijui atakuwa nani wa kuvumilia huo uzembe wako katika kuandika.

Umeandika kama mwananzengo. Hujazingatia Alama za Uandishi.

1.Je, hijui kutumia Alama za Uandishi? Au;
2. Hujui Alama za Uandishi?
 
Back
Top Bottom