Natafuta Tyres za gari

Natafuta Tyres za gari

kambi7

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
773
Reaction score
589
wakuu natafuta tyre za gari size 14 gari aina za saloon cars especially toyota camry, naomba kujua bei zikiwa mpya kwa zile za japani na china. nb. nipo mwanza
 
1.Dunlop ex Japan 200,000/=@

2.Goodride ex China 110,000/=@

Kama upo Mwanza mwone Vicent wa MSC
 
wakuu natafuta tyre za gari size 14 gari aina za saloon cars especially toyota camry, naomba kujua bei zikiwa mpya kwa zile za japani na china. nb. nipo mwanza

za Japan ni 180,000 ad 250,000
za China ni 80,000 ad 120,000
bei za dsm
 
za Japan ni 180,000 ad 250,000
za China ni 80,000 ad 120,000
bei za dsm

Mimi nahitaji sports rims size 14 au 15 za mtumba kama unazo nitumie picha whatsapp na bei yako +255656299246
 
Mkuu,

Wasiliana na hawa jamaa 0657 080 808. Wako Kariakoo, mtaa wa Msimbazi karibu na duka la Saba General na wanauza matairi toka nchi tofauti. nawaamini nami hununua tairi na betri za gari yangu kwao.
 
asante mkuu ngoja niwacheki
 
Back
Top Bottom