Mi natafuta ya kununua siuziWeka picha na risiti zake, maana kesi za kuuziwa vitu vya wizi ni nyingi sana siku hizi
In 40 kwa 350?Mi natafuta ya kununua siuzi
Sawa wanakujaSi used? Bei ya dukani naijua pia
Kumbe?Nilinunua TV zanzibar LG32 " kwa 250k miaka kadhaa nyuma...nikajiona nime-win, kumbe tv inamatatizo yake, baada ya muda ilikuwa inajizima, nikaitengeneza alafu nikatafuta mpenda kitonga nikamuuzia...kuanzia hapo sinunui vitu vya electronics used