Natafuta TV flat screen

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,474
573
Hello friend natafuta tv flat screen nina tsh.350000 nahitaji msaada pliz
 

safariwafungo

Senior Member
Apr 26, 2008
116
49
usinunue plasma maisha yake ni mafupi na endapo itaharibika maintanance yake ni almost equal to impossible so take care otherwise ipotezee flat screen mpaka utakapo pata fungu zuri
 

Tulizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
848
662
Hello friend natafuta tv flat screen nina tsh.350000 nahitaji msaada pliz

Nakushauri uongeze bajeti kidogo.. Otherwise, utaibiwa.. Ni bora ukawa na decent TV ya kawaida kuliko kununua Flat Screen ya yenye Low resolution.
 

Rose1980

JF-Expert Member
May 10, 2010
5,687
1,284
nenda kko
used flat wapata

bt y?
jipange bwna nw nunua ya kisogo leta on ukisimama poa utanunua KICHWA CHA MPEMBA(FLAT SKRIN)
 

ndenga

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,781
1,265
Angaloa 650,000 utapata nzuri kidogo.. but kwa hiyo nunua tu chogo..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom