MTM hongera kwa kuona umuhimu wa kuwekeza kwenye kilimo ambayo ndo uti wa mgongo katika nchi yetu.Una wazo zuri sana laWana Business and Economic Forum,
First of all i would like to commend you for all the effort in educating us on potential opportunities on investment as well as duly technical materials that have benefitted me for a while now
I am back, now i want to buy a tractor kwa ajili ya kulima.... ninategemea kulima, na ninahitaji trekta as soon as practically possble... Yafuatayo ni mahitaji yanguNaomba msaada ili niweze kukomboa familia na taifa kwa ujumla
- trekta lenye uwezo wa kulima hadi eka 40 kwa siku
- nguvu ya kufanya kazi hata kwenye plateaus and mabonde
- Robust na linaweza kuhimili mazingira ya tanzania kama kilombero, ifakara, nachingwea, kiteto, kilindi, bahi nk
Nahitaji pia kujua bei na wapi hapa Dar naweza kupata ready na sio la kuagiza nje... with good service possibilities
Wana Business and Economic Forum,
First of all i would like to commend you for all the effort in educating us on potential opportunities on investment as well as duly technical materials that have benefitted me for a while now
I am back, now i want to buy a tractor kwa ajili ya kulima.... ninategemea kulima, na ninahitaji trekta as soon as practically possble... Yafuatayo ni mahitaji yangu
- trekta lenye uwezo wa kulima hadi eka 40 kwa siku
- nguvu ya kufanya kazi hata kwenye plateaus and mabonde
- Robust na linaweza kuhimili mazingira ya tanzania kama kilombero, ifakara, nachingwea, kiteto, kilindi, bahi nk
Naomba msaada ili niweze kukomboa familia na taifa kwa ujumla
Nahitaji pia kujua bei na wapi hapa Dar naweza kupata ready na sio la kuagiza nje... with good service possibilities
:A S embarassed::shock::eyebrows:...... :crutch:hapo opposite na millenium towers kuna jamaa wanakuwaga na tractors na boats pia. na kibaha nadhani zamani TAMTI kama sijakosea kunauzwaga new tractors. japo nahisi ungeulizia pale wizara ya kilimo ukajua benefits utakazopata, unaweza kuingiza trekta nchini bila kodi kabisa. kila la kheri, hopefully unawaza kilimo cha kisasa cha umwagiliaji manake hali ya hewa haitabiriki. basi ulizia kuna trekta kubota inamwagilia pia (kwenye kilimo heavy duty hivyo sidhani kama inaweza). profeshenali mi ni bwana shamba na sivuti bange had valentine day so u can make use of me for now.
Mambo yamebana dude.....Msimu ndo huo unaanza....Busy na maandalizithanks cousin... umekua kimya sana dude!!!
hehehe,sorry, ni bibi shamba. hii gobore ya kuwindia nyani wasumbufu jamani!
Wakuu, kuna idea nilitumia kutoka hapa jukwaa la biahsara mwaka jana... huwezi amini imenipa ufunuo wa pekee
I am dead serious on this and thanks alot kwemt for your link, i have just followed it and i am waiting for results, sijajua budget itakuaje lakini i am determined ... tunashinda na magari mjini yanatuletea ushetani tu
ahahahaaa!!! Hongera kwa maamuzi haya mkuu!!I am dead serious on this and thanks alot kwemt for your link, i have just followed it and i am waiting for results, sijajua budget itakuaje lakini i am determined ... tunashinda na magari mjini yanatuletea ushetani tu
mkuu kuna threads za ujenzi zilikua kama nne au tano hivi hapa, nikazikombaini nikaja kujenga nyumba moja kwa 60% ya estimated cost.... guess what, idea zimenitoa properIdea gani hiyo mkuu, mega kidogo ili kama kuna mtu alishindwa kuitumia umsaidie njia na yy afaidi.