Natafuta travel insurance

Mapinduzi

JF-Expert Member
Aug 23, 2008
2,424
0
Natarajia kusafiri kwenda ughaibuni kwa miezi 3 hivi, nahitaji insurance kunicover kwa muda huo.

Mwenye kujua naomba anisaidie wapi naweza kupata travel insurance.
 

myao wa tunduru

JF-Expert Member
Mar 9, 2010
615
250
kama upo dar es salaam check na TANZINDIA ASSURANCE wapo AMANI PLACE 5th floor au PHOENIX ASSURANCE wapo IPS BUILDING 8th floor hapo bila shaka utapata hiyo cover
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom