- Thread starter
- #21
oukeyHapana mkuu sijakutumia text
oukeyHapana mkuu sijakutumia text
ulitaka niwe mzima ili ikusaidie nn wewe mwenye akili timamu unakanyagwa wwKweli we ni mwenda wazimu.. Maana c kwa uandishi huu.
mambo mengine unipotezea kiongoziulitaka niwe mzima ili ikusaidie nn wewe mwenye akili timamu unakanyagwa ww
nimekuelewa mkuumambo mengine unipotezea kiongozi
Jamani, wewe mwenyewe umetufahamisha kuwa unaitwa mwenda wazimu, mimi nilichofanya ni kukubalina na wewe kuwa kweli ni mwenda wazimu. Sasa unakasirika nini?ulitaka niwe mzima ili ikusaidie nn wewe mwenye akili timamu unakanyagwa ww
turud kwenye biashara, hayo tuachane nayoJamani, wewe mwenyewe umetufahamisha kuwa unaitwa mwenda wazimu, mimi nilichofanya ni kukubalina na wewe kuwa kweli ni mwenda wazimu. Sasa unakasirika nini?
uko sawa ujakosea mkuu tuendelee na biashraJamani, wewe mwenyewe umetufahamisha kuwa unaitwa mwenda wazimu, mimi nilichofanya ni kukubalina na wewe kuwa kweli ni mwenda wazimu. Sasa unakasirika nini?
Hizo Mbn zipo ngj nkurukie hewaniwakuu, habari za mida, natafuta Trailer/Tanker ya Mafuta , iwe nzima, lita elfu 40 au zikaribie hapo, vyumba 6
Mawasiliano
WhatsApp or Call: 0622070789
kumbe n wewe, naisubiriHizo Mbn zipo ngj nkurukie hewani
Ova
Poa.....tushatoka kuongea muda si mrefu,tanker zipo ngj ntakulink na jamaakumbe n wewe, naisubiri
waiting >>>>Poa.....tushatoka kuongea muda si mrefu,tanker zipo ngj ntakulink na jamaa
Ova
Ukihitaji horse(tractor) ninayo Howo (371hp) milage: 130,000km.......ninaiuza.wakuu, habari za mida, natafuta Trailer/Tanker ya Mafuta , iwe nzima, lita elfu 40 au zikaribie hapo, vyumba 6
Mawasiliano
WhatsApp or Call: 0622070789
Ukihitaji horse(tractor) ninayo Howo (371hp) milage: 130,000km.......ninaiuza.
30milHowo unauzaje
30mil