Natafuta Trailer/Tanker ya Mafuta

Natafuta Trailer/Tanker ya Mafuta

D-nation

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2017
Posts
200
Reaction score
99
wakuu, habari za mida, natafuta Trailer/Tanker ya Mafuta , iwe nzima, lita elfu 40 au zikaribie hapo, vyumba 6

Mawasiliano
WhatsApp or Call: 0622070789
 
Bajet yako ni how much? Kuna jamaa nimeona ana tanker naweza nikaongea naye kama una bajet nzuri...
 
wakuu, habari za mida, natafuta Trailer/Tanker ya Mafuta , iwe nzima, lita elfu 40 au zikaribie hapo, vyumba 6

Mawasiliano
WhatsApp or Call: 0622070789
Mkuu unataka ya pulling au semi?
 
ni
Semi , sio semi kwa maana ya kichanja lakn
Nimekusoma,bila shaka ni kama hili kwa mfano.
China_fuel_tank_semi_trailer200887916487.jpg
 
Skeleton ni ile chasis ya kubeba kontena alafu tenki limewekwa juu yake.. Ni imara zaidi kuliko hiyo apo kwenye picha ambayo tenk lenyewe ndio linakuwa ni chasis pia...
Namba yangu iko pale juu, sogea whatsap
 
wakuu, habari za mida, natafuta Trailer/Tanker ya Mafuta , iwe nzima, lita elfu 40 au zikaribie hapo, vyumba 6

Mawasiliano
WhatsApp or Call: 0622070789
Kama unahitaji Mpya kabisa Toka Uturuki basi hapana Shaka tunaweza Fanya mawasiliano Mkuu
 
Back
Top Bottom