Labda niwaambie kitu kimoja.Ni kwamba wabongo tulivyo,ukiskia mtu anataka nunua kitu kwa Bei flan,basi muuzaji atakwambia ongeza kidgo.
Pia ukiskia mtu anauza kitu basi ufahamu ka badge akiuza afike malengo flan,ndo mwsho wa bei yake,ikitokea hawajaelewana,jamaa(muuzaj) anasma Basi. Nini kusudio langu.
Nimeweka 5.5mil najuwa muuzaji atapanda tuu,kwa namna yyte,Kwaio ni lenga hpo ili tupandishane thn nifike nilpo Target mm,Nieleweke ivo jmn.Manake najua hakna atakae niuzia kwa Pesa niliyoandika hapo.