Natafuta tofali za kuchoma Dar

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,840
Wakuu,

Ni wapi kwa hapa Dar nitapata tofali za kuchoma, si lazima iwe Dar inaweza kuwa jirani na Dar. Mi nilifikiria kwenda Morogoro kuzifata tofali hizo, je kuna sehem ambayo ni karibu zaidi naweza zipata tofali hizo.

Note, sio zile tofali za kupanga. Nahitaji tofali zile za kuchoma na kuni kabisa kama za mkoani
 
nenda mbezi tiles .... pia mbezi makonde new Bagamoyo road kuna hizo tofalí standard kabisa ..... zinatoka kisarawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…