Natafuta tiba ya Depression

Nimekuelewaa mkuu
 
You need to see a psychiatrist akusaidie.

Kuna vitu kama anti-depressants , lakini pia kuna therapies unaweza ukapewa na ma psychiatrist kama CBT (cognitive behavioural therapy ikakussaidia)
Samahani mkuu cognitive behavioural therapy NDO nini naomba unieleweshe???
 
Good ushauri mzuri mkuu
 
Naomba inisaidie mimi nahisi pia nina depression
 
Nami pia nahitaji counselling nitakupataje docta
 
Cognitive behavioural therapy NDO nini Mkuu??
Kama nilivyosema ni therapy mara nyingi katika mfumo wa kuongea na therapist (lakini sio lazima kuna vitabu/kozi etc) ya kubadili mawazo au mtazamo kwa makusudi ni kama kujifunza kupinga mawazo yako mwenyewe ambayo ni negative na hayana uhalisi.

Nirudie tena kuna hali nyingi watu wanaita "depression", kuna wale ambao hawawezi hata kuamka kitandani au wana mawazo ya kujidhuru hawa wanahitaji msaada wa haraka zaidi ambao mara nyingi unahitaji dawa.


View: https://www.youtube.com/watch?v=UP8JwNYZBpI
 
download this, ni tiba
Kwa wale madaktari bingwa humu (psychologists) na waganga wakuu wa hayo mambo, nimeileta mada kwenu mnisaidie, je mtu anawezaje kupona akiwa ameumwa depression hasa hasa major depression? na kama ni dawa atumie zipi ambazo zita act fast?
MAZOEZI , MAZOEZI ,MAZOEZI
zingatatia hii kwa at least mara 5 kwa week serious working out routine
 
Nina recommendations ya natural anti-depressant imefanyiwa tafiti nyingi na pia Hailete utegemezi wa dawa au uteja.
Hii St.Johns wart ,jina maarufu.ni Moja ya nervine herbs and natural anti-depressant.
Kama una weza fanya utafiti binafsi kujiridhisha na maelezo niliyoyatoa na Kwa msaada namna ya kuipata nitakuwa tayari kusaidia.
 
Ndio Kuna wanaoshauri therapy.Ndio ni kitu kizuri.
Maoni yangu ni mtu kujitambua yeye ni waaina gani kutokana na makundi yafuaatayo.
1. Melancholic
2. Phlegmatic
3. Sanguine
4. Choleric
Makundi haya huwa na aina tofauti za msongo kutokana na Asili ya damu zao.
Sifa melancholic ni wapole na waoga na pia ni watu wa kulalamika na wapweke.
Phlegmatic ni wapole ,wabishi,wavivu,vibonge na marafiki.
Sanguine ni hodari,watu wa action,wapambaji,wakorofi
Choleric ni marafiki,maneno mengi,wacheshi,hawatuuli,

Kila aina ya watu hupata msongo kama Asili Yao inakuwa inaminywa.
Mfano ,mtu aina ya choleric kufanya shughuli zinahiji akili na utulivu wa akili basi huyu mtu atakuwa anamsongo sababu damu yake Iko mbio na anahitaji mazingira yenye kusisimua zaidi .
Mfano ,ni melancholic ambao wao hufuatilia vitu kiundani sana na wako makini na dosari hivyo kuweka katika mazingira ya Hali ya kutobirika au shughuli za kuongea sana kama sales huwa ni mateso kwao.
Sasa kama mtu anajijua yeye ni WA aina gani anaweza kupunguza speed au kuongeza kutoka kama na mazingira na Kwa watu aina ya melancholic wao kiasili ni depressed hivyo wanahitaji vitu kama nervine herbs au visisimuo/stimulants ambazo zitaondoa Hali ya damu nzito na kuwa nyepesi.
Kama Kuna wajuzi wajazie au tujadili.
 
Kwa wale madaktari bingwa humu (psychologists) na waganga wakuu wa hayo mambo, nimeileta mada kwenu mnisaidie, je mtu anawezaje kupona akiwa ameumwa depression hasa hasa major depression? na kama ni dawa atumie zipi ambazo zita act fast?

angalia kucha zako je zipo kam hizo hapo juu utajijuwa unayo hayo maradhi yanayokusumbuwa.
 
Yes unaweza sema ivo. Maana situmii any sort of pills kunisaidia ku get through the day.
By the way mkuu unaweza ni PM, we could be friends since we have the same history (If you are comfortable)
Naomba unipm Nna shida na wewe
 
Yes unaweza sema ivo. Maana situmii any sort of pills kunisaidia ku get through the day.
By the way mkuu unaweza ni PM, we could be friends since we have the same history (If you are comfortable)
NI kweli anahitaji upendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…