Inakuwa ni marijuana ya kawaida au imeandaliwa medically?Medical marijuana,hyo ndio mama wa dawa zote za dipression duniani.Tafuta highgrade kush,tupia msumari moja tu kwa siku,jioni baada ya kumaliza shuhuli zako,utajionea maajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
sijajua imani yako, binafsi nilishawahi kupitia kipindi cha stress iliyoelekea depression kabisa. dawa pekee niliyoipata ni "YESU". katika kitabu cha Isaya wakati Yesu anatabiriwa kuzaliwa, aliitwa Mfalme wa Amani, Mungu mwenye Nguvu etc. depression kiini chake ni kukosa furaha na amani. jambo hili huwezi kulipata nje ya Yesu. na sio tu kwenda kanisani, ni Yesu kuingilia kati, Roho Mtakatifu akiingia kwako utapata amani ambayo haujawahi kuipata na furaha muda wote na depression huwa inafutika kabisa hadi unaisahau. nilikuwa na vidonda moyoni vingi sana, lakini hii pekee ndio iliniokoa. hadi sura ilikuwa imebadilika lakini Yesu anaweza yote.Kwa wale madaktari bingwa humu (psychologists) na waganga wakuu wa hayo mambo, nimeileta mada kwenu mnisaidie, je mtu anawezaje kupona akiwa ameumwa depression hasa hasa major depression? na kama ni dawa atumie zipi ambazo zita act fast?
Napigia msumari Hapa. Ingawaje watu wanaweza kupuuziaMedical marijuana,hyo ndio mama wa dawa zote za dipression duniani.Tafuta highgrade kush,tupia msumari moja tu kwa siku,jioni baada ya kumaliza shuhuli zako,utajionea maajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Medical marijuana ni hii hii marijuana yakawaida,utafauti unakuja kwenye kiasi cha THC na Canabinoids components na lengo la mtumiaji na namna utakavyotumia.Kuna baadhi ya maradhi yanatibiwa na THC (the stuff in weed that gets u high and euphoric) kama vile stress,kukosa usingizi,depression,maumivu ya muda mrefu etc.na kuna magonjwa mengine yanatibiwa kwa Canabinoids kama vile kifafa,alzheimer na mengineyo.Inakuwa ni marijuana ya kawaida au imeandaliwa medically?
Asante kwa elimu nzuri.Medical marijuana ni hii hii marijuana yakawaida,utafauti unakuja kwenye kiasi cha THC na Canabinoids components na lengo la mtumiaji na namna utakavyotumia.Kuna baadhi ya maradhi yanatibiwa na THC (the stuff in weed that gets u high and euphoric) kama vile stress,kukosa usingizi,depression,maumivu ya muda mrefu etc.na kuna magonjwa mengine yanatibiwa kwa Canabinoids kama vile kifafa,alzheimer na mengineyo.
Pia namna ya utumiaji,marijuana is not just for smoking,wengine wanainywa kama chai,wengine wana extract mafuta yake etc.
So basicaly ni bangi tu hyohyo muhimu utafute ambayo imekomaa vizuri na high grade na strain ambayo inakufaa
Shukran mkuu,unaweza kufanya research zaidi mtandaoni utapata maelezo mujarrab zaidi,nimejaribu kuelezea kwa kifupi hapo.Asante kwa elimu nzuri.
Nakuelewa sana. Napata hiyo kitu sometimes.. curiosity yangu ni kujua medically inakuaje, nilidhani labda inatofauti na hii ya kawaida.Shukran mkuu,unaweza kufanya research zaidi mtandaoni utapata maelezo mujarrab zaidi,nimejaribu kuelezea kwa kifupi hapo.
Kwa kifupi ukiwa na depression au stress na njia nyengine zimefeli kukusaidia tafuta eneo tulivu yenye mzunguko mzuri wa hewa,uwe umeshiba vizuri na umekunywa maji ya kutosha,relax, piga msumari wako mmoja ulionyooka,sio hii ya miambili ya huku uswazi,pembeni una soft drink,hakikisha hakuna makelele wala usumbufu na iwe jioni baada ya kazi.ukimaliza uoge ulale.
Kudos to you Ms demi.Nakuelewa sana. Napata hiyo kitu sometimes.. curiosity yangu ni kujua medically inakuaje, nilidhani labda inatofauti na hii ya kawaida.
Naonaga sana lkn sijawahi kufatilia kwa undani.
Niliwahi kuugua Depression nikiwa high school na miaka ya mwanzoni chuo...
Ni ugonjwa mmbaya sana kwa kua unatafuna ndani chanzo chake kinaweza kua aina ya maisha uliyowahi kuishi au unayoishi "Depression" ina adhari kubwa sana kwenye Akili na Mwili nilikujua kugundua pia inafika mpaka kwenye chembe chembe za Damu na unafanya mtu ayatazame maisha kwa tofauti sana...
Mpaka sasa Hakuna Dawa au vidonge maalumu kwa ajili ya Depression ila unaweza kupona na kupata nafuu kwa kuwa makini na Akili na Hisia zako tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Napendaga wadada smart wanaoshtua kush,wanakuwaga waelewa sana,calm alafu hawana mashauzi.
Kwa major depression ni anti depressants tu.
Zipo nyingi sana na zengine zinafanya kazi kwa mtu mmoja ila sio kwa mwengine na pia zina side effects nyingi so hakikisha unapata dactari mzuri.
Kama anajiweza kidogo angalia kitu kinaitwa cognitive behavioral therapy, hii ni therapy ya kubalidisha mtazamo wako ni one of the most effective depression treatments, kuna vitabu unaweza kudownload au kununua ambavyo ni kama workbook unafanya mwenyewe au upate actual therapist.
Oh yes. Am like that!Napendaga wadada smart wanaoshtua kush,wanakuwaga waelewa sana,calm alafu hawana mashauzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
wonderful,I like that,keep itOh yes. Am like that!
Pia na aina ya watu unao jumuika nao wakati wote wanaweza kuchangia kuongezeka au kupungua kwa hyo Depression.Niliwahi kuugua Depression nikiwa high school na miaka ya mwanzoni chuo...
Ni ugonjwa mmbaya sana kwa kua unatafuna ndani chanzo chake kinaweza kua aina ya maisha uliyowahi kuishi au unayoishi "Depression" ina adhari kubwa sana kwenye Akili na Mwili nilikujua kugundua pia inafika mpaka kwenye chembe chembe za Damu na unafanya mtu ayatazame maisha kwa tofauti sana...
Mpaka sasa Hakuna Dawa au vidonge maalumu kwa ajili ya Depression ila unaweza kupona na kupata nafuu kwa kuwa makini na Akili na Hisia zako tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aminasijajua imani yako, binafsi nilishawahi kupitia kipindi cha stress iliyoelekea depression kabisa. dawa pekee niliyoipata ni "YESU". katika kitabu cha Isaya wakati Yesu anatabiriwa kuzaliwa, aliitwa Mfalme wa Amani, Mungu mwenye Nguvu etc. depression kiini chake ni kukosa furaha na amani. jambo hili huwezi kulipata nje ya Yesu. na sio tu kwenda kanisani, ni Yesu kuingilia kati, Roho Mtakatifu akiingia kwako utapata amani ambayo haujawahi kuipata na furaha muda wote na depression huwa inafutika kabisa hadi unaisahau. nilikuwa na vidonda moyoni vingi sana, lakini hii pekee ndio iliniokoa. hadi sura ilikuwa imebadilika lakini Yesu anaweza yote.
siongei ili kutangaza dini, au lolote, ndio maana nimekwambia hata ukiwa kanisani, kama in reality Yesu hayupo moyoni na haujajazwa Roho Mtakatifu, hautakuja kupata amani, lakini pindi Roho Mtakatifu akiingia kwako, automatically kuna utulivu, amani na furaha isiyoelezeka inatua moyoni mwako. Mungu akusaidie katika Jina la Yesu Kristo.