Natafuta tender (kazi) za inventory

Jul 3, 2012
37
36
Kampuni mpya iitwayo TANZANIA GROUP THREE LTD inatafuta kazi za inventory, identification & Cordification.

Ni kampuni mpya, nimeajiri watu wenye uzoefu, na vitendea kazi bora zaidi.

Nafanya kazi kwenye kampuni taasisi yoyote kampuni yoyote na sijali ukubwa wa kazi. Mimi najali kukupa matokeo mazuri ya kazi.

Naomba kama kuna unahitaji kufanyiwa kazi hii tafadhali tuwasiliane.

Namba +255 712 83 11 73

Ahsante sana.
 
sisi ni wataalam wa kuhesabu mali za kampuni au shirika au mtu binafsi.

bila shaka umewahi kuingia kwenye ofisi mbalimbali na kuona vifaa mbalimbali vimeandikwa namba fulani mf.. meza ya mapokezi utaona imeandikwa MK/TB/REC.91 hapo tunakuwa tunamaanisha asset hiyo imehabiwa na kupewa namba hiyo.

kiufupi tunatengenezea hesabu ya malizako na kuziwekea namba. hii inakusaidi wewe kuwa na takwimu halisi za mali zako.

fikiria mtu kama Bahresa anajuaje mali zake?
yeye anakuwa amefaniwa inventory. na anakuwa ana kitabu kimoja kiitwacho Master Registry Control... na anakuwa amewekewa kila kila kwenye e=mail yake.

kwa wenye ofisi hizi ndogo za kawaida pia wanatakiwa kufanyiwa inventory kwa sababu. siku hizi ni kawaida kumuona kila mmoja akiwa amebeba kibeji kidogo anakwenda nacho ofisini na kurudi nacho. sasa unaweza kuwa unanunua vitu ofisini na vikawa vinaondoka kimojakimoja au ww unanunua vipya wenzako wanakuja na vibovu wanakubadilishia. so kila mara wewe utaona unafanya service/repair.

sisi tunaweza kujakukufanyia inventory kisha kufanya utambuzi wa namba kwa kifaa ambapo mtu akiiba utajua kwakuwa utagundua kuwa kuna kitu kina miss

lkn pia mtu anaweza kuwa anakuibia ofisini kwake na kuchukua vitu toka ofisi ya wenzake na ku-replace kule kwake.

so ni jambo zuri kufanya inventory ya assets zako. pia inasaidia kujua kama kampuni yako inakua au inashuka.

tupo kwenye final process ya kuwa na website. so karibuni sana wadau///
 
ASSET INVENTORIES
Identification
Codification
Abbreviation
Office Records

MOVERS
Office movers
House mover
Factory movers
etc

Tunafanya packing mizigo kwaajili ya exports,
Tunayengeneza packing list...

Mawasiliano
0 784 399 811
express.movinto@hotmail.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom