GeniousMbishii
Member
- Jun 22, 2014
- 42
- 7
Ulipotaja SEMBE nikajua ni ule utajiri wa haraka.
hata mi nilikuja fasta nikidhani sembe ile inayowatoa watu kimaisha haraka haraka.
Akibadilisha title ndo itakuwa mbaya sana. Bora aiache kama ilivyo. Unadhani angeandika anauza 'Unga' ingeelewa vipi?badilisha tittle ndugu, du umenishtua kweli yani.
Nahitaji mkuu ila kwa bei hiyo hiyo ukijumlisha na usafiri, Nipo morogoro mjini. Kama utaweza niambie nikupe mawasiliano.Nauza pia natafuta tenda ya ku supply unga wa sembe kwa mashule au mashirika mbali mbali kwa jumla na reja reja,,unga ni safi kabisa tumesaga kwa mashine za kisasa kabisa.npo songea karibu na uwanja wa majimaji,,bei shilng 700 Kilo nyote mnakaribishwa
unaweza kunipm au nicheki thru 0752750598
Nahitaji mkuu ila kwa bei hiyo hiyo ukijumlisha na usafiri, Nipo morogoro mjini. Kama utaweza niambie nikupe mawasiliano.