Biashara ya Unga wa sembe AU Pharmacy

_ID

JF-Expert Member
Aug 15, 2019
5,408
7,403
Asalaam wanajukwaa
••••●●●☆☆☆☆☆••○••●●●●☆☆•••••
Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo,
Nimekuwa na ideas za biashara mbali mbali na nimezichambua kwa mda sasa hatimaye nimejikita katika hizi biashara tatu
1.Biashara ya kuuza unga wa sembe,mahindi na maharage
2.Biashara ya kuuza madawa ya binadamu(Pharmacy)
3.Partnership

☆Mtaji uliopo ni 3M
☆Nipo Dar

1.Hii biashara ya kuuza unga niliplan kuifanyia maeneo yenye mzunguko wa watu wengi yaan towncentre ili kuwa na uhakka na soko.
(Unga nimeplan kuusafirisha kutoka mbeya/songea kulingana na unafuu wa bei).

lakn sasa nimefanya uchunguzi kwa maeneo ya kariakoo,,nikawa narudi taratbu kuja maeneo ya magomen,shekilango, ubungo nimeshangaa kukuta frem nyingi zimefungwa yaan watu wamefunga biashara mpaka sio poa

●》Swali langu
A.》 JE TATZO LAWEZA KUWA NI NN??? YAAN N KWA NN WAFANYABIASHARA WANAFUNGA SANA BIASHARA,, nahtaji kujua changamoto ili nisije ingia kichwa kichwa nikapoteza mtaji

B.》Kama kuna mtu anafanya hii biashara ya kuuza unga wa sembe naomba anijulishe je anashindanaje na watu wenye mtaji mrefu kama akina MO ambao tayari wanafanya hii bussiness na tayar wapo vichwani mwa wateja? (yaan wamekaririka)

C.》Kuna vibali vingine vya biashara vinahtajika tofauti na TRA?

D.》Je huo mtaji unatosha kuanza hii biashara?? yaan kulipia frem,TRA,Kununua mzigo na kusafirisha mzigo

2.Biashara ya pharmacy÷ baada ya kuchunguza kwa mda nikagundua kwamba wapo walokuwa wakifanya hii biashara nao wamefunga biashara japo wao sio wengi sana lakn:

☆Hapa kwny pharmacy inabidi niajiri mfamasia sasa naona kama mlolongo utakua mrefu (Lakin nakaribisha ushauri wenu)

3.Partnership÷ pia nilikuwa na wazo la kuungana na mtu ambaye tayari anafanya biashara (any standing bussiness) alafu mm nkawekeza mtaji wangu then tukaiendesha ile biashara yake kwa pamoja.

Pia kama unazjua biashara nyingine nzuri tofauti na hzo karibu uweze kuchangia uzi huu

••••●●●☆☆☆•••••••••••●●●●☆☆☆☆•••••

Nakaribisha maoni,ushaur na uchangiaji kwa maada tajwa hapo juu LAKINI watu wa FOREX,BITCOIN,JP MARKETS ,AIM GLOBAL,Q NET,FOREVER LIVING,SMARTLIFE na wengne kama hao naomba mkae pemben kwa sababu nazifahamu ROUGH znazochezwa kwny hzo biashara

☆KARIBUNI☆
 
Pharmacy.., kwa mtaji wako wa 3m unaweza kumuajiri pharmacist, kununua bidhaa na requirements zote na bado ukapata faida ? (au ni kipi ambacho kilikufanya uwaze unaweza kuanzisha hili duka), kwa hio pesa ?

Partnership; sio lazima uwekeze mtaji wa pesa unaweza kuwekeza skills au ujuzi fulani.., kwa pesa ya 3M partnership na wabongo sio watu wazuri bora tu ufanye yako mwenyewe kile unachokijua, hizi partnership unaweza kununua ugomvi au kuharibu urafiki uliokuwepo.., watu sio watu tena...
 
shukran mkuu
kwny pharmacy hapo nlikua sjajua hawa wafamasia huwa wanalipwaje ndo mana nikakwama

kwa sababu ili kupata kibali cha kufungua pharmacy n lazma uwe na mfamasia
 
unamaanisha 3m haitoshi kuanzisha pharmacy?
Pharmacy.., kwa mtaji wako wa 3m unaweza kumuajiri pharmacist, kununua bidhaa na requirements zote na bado ukapata faida ? (au ni kipi ambacho kilikufanya uwaze unaweza kuanzisha hili duka), kwa hio pesa ?

Partnership; sio lazima uwekeze mtaji wa pesa unaweza kuwekeza skills au ujuzi fulani.., kwa pesa ya 3M partnership na wabongo sio watu wazuri bora tu ufanye yako mwenyewe kile unachokijua, hizi partnership unaweza kununua ugomvi au kuharibu urafiki uliokuwepo.., watu sio watu tena...
 
Biashara ulizonuia kufanya zote ni nzuri kwa maana hakuna mtu ambaye anayeweza kuahirisha chakula au dawa hususan chakula chenyewe kikiwa mahindi na maharage
Mahindi na Maharage bei zake haziko stable huwa zina flactuate according to season inabidi uwe muangalifu kujua ni wakati gani mzuri kwa Manunuzi

Pharmacy iko vizuri ila inahitaji capital kubwa zaidi, ukitilia maanani uwezekano wa Partnership bado waTanzania wengi tunaogopana

The best option kwako ni kuanza na Medical Store ambayo unaweza muajiri hata Nurse ukapata vibali vyote bila shida na utakuwa una gain experience kuelekea Pharmacy. Changamoto iliyopo kwenye Medical Store ni Wauzaji wengi huwa wanajua ni dawa gani zinahitajika ktk kipindi fulani cha mwaka hivyo huja na stock zao kwenye mikoba akija mteja anamuuzia za kwake, za kwako zinaendelea kubaki kwenye shelves
 
cheers,,,japo mm pia naweza kuwa nashinda dukan kwa sku za kwanza kwanza ili kujua mwenendo wa biashara
 
1. Unga wa sembe na maharage. Hii sema fungua duka la kuuza mazao. “Bonge moja la biashara”. Hii utakuwa na unga wa sembe,maharage ya aina hata 3. Mchele wa aina hata 2. Mahindi,dagaa aina zote hii utafanya biashara sana. Hii fungua huko Tandika huko changanyikeni. Ila mtaji huo ni mdogo,angalau kwa uchache isipungue milioni 15.
2. Pharmacy-bonge moja la biashara. Hii biashara inakuwa nzuri zaidi wewe mwenyewe uwe na hicho cheti cha u-pharmacia au cha udoctor,au ndugu yako wa karibu ili utumie cheti chake kufungulia hilo duka. Mtaji kiwango cha chini kuanzia milioni 20.
3. Partnership-hili jinamizi liondoe kabisa kichwani mwako. Kwa Tanzania hii utapoteza hata kidogo ulichonacho.
A. Kuhusu kufungwa kwa maduka sehemu nyingi,hili kwa sasa liko kila kona ya nchi. Ni kwa sbb ya TRA. Kama nchi nafikiri ni kipindi cha mpito fulani hivi tunapitia,naamini kitapita. Wengi wafanyabiashara tunapitia hiki kigumu kwa sasa. Hali ni mbaya kwa wafanyabiashara.
B. Ushindani wa kibiashara na hao akina Mo mbona umeenda mbali sana? Una mtaji huo halafu unawafukiria akina Mo huko?. Fungua biashara,anza kama nilivyokuambia pale juu.
C. Mbali na TRA kuna vibali Leseni manispaa,kibari cha TFDA(mamlaka ya chakula na dawa). Hapo ni ktk biashara zote 2.
D. Huo mtaji tu kwa dar ni hela ya kulipia frem tu kwa mwaka hapo
 
point taken mkuu
 
Pharmacy.., kwa mtaji wako wa 3m unaweza kumuajiri pharmacist, kununua bidhaa na requirements zote na bado ukapata faida ? (au ni kipi ambacho kilikufanya uwaze unaweza kuanzisha hili duka), kwa hio pesa ?

Partnership; sio lazima uwekeze mtaji wa pesa unaweza kuwekeza skills au ujuzi fulani.., kwa pesa ya 3M partnership na wabongo sio watu wazuri bora tu ufanye yako mwenyewe kile unachokijua, hizi partnership unaweza kununua ugomvi au kuharibu urafiki uliokuwepo.., watu sio watu tena...
Anataka duka la dawa muhimu na sio phamacy
 
  • Thanks
Reactions: _ID
kila nkisoma comments zilizomo humu kwny huu uzi wangu nasikitika sana.

Anyway ngoja niishie hapo.

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom