Natafuta tenda ya kufanya malipo kwenye kampuni binafsi, vikundi n.k kwa bei nafuu kabisa

Nyam

Senior Member
Jul 9, 2012
134
72
Habari wana jf,
Mimi ni dada, elimu yangu ni Bachelor ya Business Administration in Accounting, kwa sasa ni mwajiriwa kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar kama Payroll Accountant. Mbali na kuajiriwa natafuta tenda ya kuwa nafanya malipo mbalimbali kama mishahara, Suppliers n.k either ni Online banking or otherwise kwenye kampuni,vikundi au mtu binafsi kwa bei ya kawaida kabisa kama part time....Nakaribisha maoni .....Niko serious.
 
All the best dada wangoja waje.. hila namimi naomba connection nipate kazi uko kwenye makampuni natanguliza shukran (samahani kwakutoka njee ya mada)
 
All the best dada wangoja waje.. hila namimi naomba connection nipate kazi uko kwenye makampuni natanguliza shukran (samahani kwakutoka njee ya mada)
Una elimu gani na experience ya muda gani?
 
Ni wazo zuri kuliangana na taaluma yako; ningekushauri kwanza kabisa uwe na internet na computer nyumba then utafute kazi ya payroll service provide yaani "Gross to net pay calculations + payment of employees and related statutory payments".

Hilo la tenda ya kufanya malipo ni ngumu; hakuna huduma kama hiyo.
 
Computer ninayo nyumbani, na ninaweza kufanya vyote nikiwa popote pale...
 
All the best dada wangoja waje.. hila namimi naomba connection nipate kazi uko kwenye makampuni natanguliza shukran (samahani kwakutoka njee ya mada)
sorry nilisahau kukuuliza kama wewe ni kaka au dada mana sehemu nyingine huwa wanachagua gender...
 
lazima wewe ni mmama wa mtoto mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…