Bahati mathiad Member May 17, 2017 8 0 Sep 24, 2017 #1 mimi mhitimu wa chuo cha maabara singida ngazi ya astashahada nmemalza mwaka huu (2017 ) naomba mnijulishe kama mtanipatia namba yangu 0762462776
mimi mhitimu wa chuo cha maabara singida ngazi ya astashahada nmemalza mwaka huu (2017 ) naomba mnijulishe kama mtanipatia namba yangu 0762462776
M Manfighter Member Jun 22, 2017 88 43 Sep 24, 2017 #2 mhh jiajiri tu ndugu yangu.. ajira ngumu hii nchi
Sultan Kipingo JF-Expert Member Mar 4, 2013 236 175 Sep 24, 2017 #4 Bahati mathiad said: mimi mhitimu wa chuo cha maabara singida ngazi ya astashahada nmemalza mwaka huu (2017 ) naomba mnijulishe kama mtanipatia namba yangu 0762462776 Click to expand... uko wapi sasa? mkoa gani?
Bahati mathiad said: mimi mhitimu wa chuo cha maabara singida ngazi ya astashahada nmemalza mwaka huu (2017 ) naomba mnijulishe kama mtanipatia namba yangu 0762462776 Click to expand... uko wapi sasa? mkoa gani?
Capslock JF-Expert Member May 1, 2016 3,066 4,729 Sep 24, 2017 #5 Sultan Kipingo said: uko wapi sasa? mkoa gani? Click to expand... Katoa namba mpigie.
sagaciR JF-Expert Member Jun 17, 2017 644 875 Sep 24, 2017 #6 Bahati mathiad said: mimi mhitimu wa chuo cha maabara singida ngazi ya astashahada nmemalza mwaka huu (2017 ) naomba mnijulishe kama mtanipatia namba yangu 0762462776 Click to expand... Km una leseni tuwasiliane kazi utapata. Tupo Kahama
Bahati mathiad said: mimi mhitimu wa chuo cha maabara singida ngazi ya astashahada nmemalza mwaka huu (2017 ) naomba mnijulishe kama mtanipatia namba yangu 0762462776 Click to expand... Km una leseni tuwasiliane kazi utapata. Tupo Kahama
Mdeke_Pileme JF-Expert Member Aug 24, 2013 1,563 2,126 Sep 24, 2017 #7 Balvejmumt said: jifunze kujitolea Click to expand... Unaoga, unavaa nguo za kununua, unajipaka mafuta ya kununua, unapanda daladala kwa nauli, alaaaaaaafu unaenda kumfanyia mtu bure? Bora niwe hata dalali stend.
Balvejmumt said: jifunze kujitolea Click to expand... Unaoga, unavaa nguo za kununua, unajipaka mafuta ya kununua, unapanda daladala kwa nauli, alaaaaaaafu unaenda kumfanyia mtu bure? Bora niwe hata dalali stend.
milton jackson Member Apr 20, 2017 32 15 Dec 3, 2017 #8 sagaciR said: Km una leseni tuwasiliane kazi utapata. Tupo Kahama Click to expand... Leseni mie ninayo
sagaciR said: Km una leseni tuwasiliane kazi utapata. Tupo Kahama Click to expand... Leseni mie ninayo