Mkuu ongeza 10k , Simu haina muda mrefuNimepata 10k ya kuazima mkuu so nina 60k saiv
Kwema mkuu, SalamaKwema mkuu?
Bei ya dukan na risit unapata weee usimuingize mwenzio kichakaniLeta 100000
@m G00d Br0ther
Haya mtoe Huko Machakani Akanunue SimuBei ya dukan na risit unapata weee usimuingize mwenzio kichakani
Nitumie your Number kwa Pm ntakupigia kesho..Salama vip 60k ndugu , nimehangaika vya kutosha nimeikosa hiyo 10k ya kujazia