Nipe 75000Habari
Anayeuza tecno Y3+ naomba ajitokeze,anipe bei na picha tufanye biashara.
Note: isiwe imetumika zaidi ya mwaka,iwe ktk hali nzuri
Me nakuuzia Toleo la Kwanza Kama Unajua Simu Utakuwa Huna Doubt na Hiyo BeiDukani mpya sh 110000,your price is not reasonable
Fanya 75 tufanye biashara mkuuKuna 50k mkuu chap chap kabla jua halijawa kali
Fanya 70 mkuu ndo bei ya mwisho..Simu bado mpya haina hata miezi mitatuMkuu nina hiyo tu ...dukani nimetafuta kwa hiyo bei nimekosa,nimekuta masimu ya kichina nimeachana nayo