Hii kitu ipo Iringa hasa vijijini ukienda kuchukua kuna wengine watakushukuru.Ntashukuru sana mkuu
Wilaya ya iringa vijijini, kuanzia Kitwiru, Tanangozi, Ihemi, ifunda hadi Mufindi pale. Tafuta contact za watu kule. Maana nahisi wenye mianzi huwa wanahangaika sana pa kupeleka, mara waichome moto. Ni vurugu tupu. Inatafuna sana rutuba ingawa kwao faida ni ile pombe.Hivyo vijiji vinapatikana wilaya gan?
Mkuu nashukuru sana, Naweza kupata mawasiliano ya mkazi wa hayo maeneo?Wilaya ya iringa vijijini, kuanzia Kitwiru, Tanangozi, Ihemi, ifunda hadi Mufindi pale. Tafuta contact za watu kule. Maana nahisi wenye mianzi huwa wanahangaika sana pa kupeleka, mara waichome moto. Ni vurugu tupu. Inatafuna sana rutuba ingawa kwao faida ni ile pombe.
Khaa wehya ulimnofuu!!!Njoo iringa....hakika utaacha na mingine huko huko
Nahitaji mianzi kama inayoonekana hapo juu kwenye picha. Unaweza kuipiga picha unitumie niione.Mkuu tani unanuaje. Mi nipo iringa wilaya ya kilolo. Mianzi ipo mingi ila ni si ndefu kama kwenye picha. Nijuavyo mimi kuna aina zaidi ya 2000 za mianzi. Je mianzi ya iringa itakufaa?