Natafuta supplier wa Mayai ya Kisasa

Natafuta supplier wa Mayai ya Kisasa

SUKAH

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
1,794
Reaction score
2,019
Habari zenu wanaJF.

Aisee, hivi karibuni nimeanzisha biashara ya mayai ya kisasa lakini bado sijapata supplier wa uhakika ambaye ataniuzia jumla nami nikimbizane mdogomdogo huku uraiani.

Sasa basi kwa yeyote mwenye kusupply au kumjua supplier wa mayai ya kisasa mwenye bei nafuu ya jumla jumla naomba mawasiliano yake huenda nami nikawa nimepata chimbo langu la mayai. Nipo Morogoro.

Niwashukuru sana wakuu.

Mawasiliano
mangastainv@gmail.com
 
Weka mawasiliano yako
 
Mtu unataka kusaidiwa/kufanya biashara unaficha tena mawasiliano ?

Weka namba zako au email watu wakutafute directly, au unataka anaetaka aweke namba ili asikilizie wewe umtafute ? Nchi ngumu sana hii
 
Nchi ngumu sana hii, sio!

Asante kwa mchango wako mkuu. Nimelifanyia kazi suala la mawasiliano.
 
Habari zenu wanaJF.

Aisee, hivi karibuni nimeanzisha biashara ya mayai ya kisasa lakini bado sijapata supplier wa uhakika ambaye ataniuzia jumla nami nikimbizane mdogomdogo huku uraiani.

Sasa basi kwa yeyote mwenye kusupply au kumjua supplier wa mayai ya kisasa mwenye bei nafuu ya jumla jumla naomba mawasiliano yake huenda nami nikawa nimepata chimbo langu la mayai. Nipo Morogoro.

Niwashukuru sana wakuu.

Mawasiliano
mangastainv@gmail.com
Upo wap??? Kama ni Arusha tuwasiliane
 
Karibu tufanye kazi, 0677126166.
 
Back
Top Bottom