Msamaha unaomba wa nini sasa...upo right si umeeleza hisia zako ama uliandika ukiwa umelewa na sasa pombe imeisha kichwan?kama kuna yeyote anahisi nimemkwaza humu naomba anisamehe!!.
kama kuna yeyote anahisi nimemkwaza humu naomba anisamehe!!.
kama kuna yeyote anahisi nimemkwaza humu naomba anisamehe!!.
njaa mbaya na usiombe ikakaukuta chuo bumu limeisha, afu unaishi kwa showoff...
Hahaha, umenikumbusha enzizile tupo chuo kuna watu jamani walikuwa na maisha ya ajabu!!!Yaani anaigiza maisha ya hali ya juu ili hali ye wa mkate na parachichi hahahaha
njaa mbaya na usiombe ikakaukuta chuo bumu limeisha, afu unaishi kwa showoff...
Its ok..kwa ushauri...andamaneni ili boom liongezwe muepuke hizi tamaa na njaa za mwisho wa semesterkama kuna yeyote anahisi nimemkwaza humu naomba anisamehe!!.
he he he jamenii
naona unamsaidia kuwahamasisha mashuga dady
Kila la kheri
View attachment 140469
Mkuu kwani ile ID ya Cutie01 ilikua na majanga gani.....sound like ú know something
We ulijuaje kuwa kapewa mkate na blue band tu? Nahisi ni wewe yalikukuta hayo.kuna dem alikuwa anakeshewa usiku mzima anarudi rum kabeba mkate na blue band he he he
maisha ya showoff vyuoni yanawacost wengi...
We ulijuaje kuwa kapewa mkate na blue band tu? Nahisi ni wewe yalikukuta hayo.
me mtoto tena?!..aah!!. haya bhana.wish ungenijua.