cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 651
Habari wadau,nahitaji stationery na salon ya kiume za kununua mpanda mjini kwaajili ya kufanya biashara,asanteni!!
Nisaidie namba yake plzNenda mtaa wa simba muone frank
Nisaidie namba yake plzNenda mtaa wa simba muone frank
sema bajeti yako , nina vifaa vya saloon na stationary vipo DAR, nipmHabari wadau,nahitaji stationery na salon ya kiume za kununua mpanda mjini kwaajili ya kufanya biashara,asanteni!!