NATAFUTA SPONSORSHIP,nipo chuo kikuu

M

Mwadilifu

Member
Feb 13, 2011
74
0
Habarini wanajamvi,ni kijana wa kiume,nina miaka 23,ninasoma chuo kikuu Iringa,mwaka wa tatu,ninasomea sheria( LLB),kwa hali na mali natafuta sponsor,awe an individual,organisation or whatever,this is very serious,nd i'll provide more(full) information to someone interested,plz let's invest in education,let's invest in knowledge,for we call this forum the home of intellectuals! its time now,lets make them,atleast one!
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,150
2,000
Sawa kabisa! Unatafuta sponsorship ya nini?
 
Top Bottom