Natafuta sperm donor

Kama kuowa hamtaki, mnataka tufanyaje sasa? Bora nizae mapenzi nihamishie kwa mwanangu
Dada acha hizo watu tunatafuta wanawake wa kuoa hatupati wewe unasema hatuoi,au ndio tatizo la kuonana na mwenye shida ya kuoa.
 
mekosa sifa moja ya Weupe ila hiyo ndo kazi yangu inayoniweka mjini.
 
Ni PM, niko kama hiyo Picha inavyoonesha
 
Yani mkuu hata miaka 25 unasema uko mbali kuifikia lakini umeshaanza kuumizwa na mapenzi, sasa mwenzetu uliyaanza lini hadi yameshakukinai? Ni mawazo yangu tu
 
Mimi ni sperm donor, ni-pm nikutumie popote ulipo
 
Upo sahihi ila kila mtu na maisha yake mkuu

Siwezi kupingana na hii njia uliyoichagua kwa vile sijui umepitia mitihani na matatizo ya aina gani, lakini bado kunaweza kuwa na suluhu nyingine bora kuliko hii dadaangu. Mshukuru Mungu at least wewe umefikiria hii njia kama suluhu, mwingine angeweza kujiua ili apotee duniani.
 
***
mi namuwinda aqeelah unakuja wewe!,aah /kibaya umeblock hata profile yako!
Hahaaaa.. Nilimaanisha humu wako wengi walioumizwa lakini kuumizwa kusikufanye uwe sperm donor . Kams mtu anataka mtoto kwa nini asiende Clinic hapa Dar akapandikiza sperm. Kuna clinic hapa iko afadhali kidogo kwa bei haswa yeye mwenye degree zake . Million 30 unapata process ya Sperm bila kupata mashaka . Akapandikize tuu clinic halafu alee mwanae kama kweli ana nia ya Sperms tuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…