Natafuta sperm donor

Natafuta sperm donor

aqeelah

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
360
Reaction score
240
Nimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono.

Naomba mwanaume aliyetayari kunizalisha ajitokeze, awe mweupe na mrefu kiasi na awe tayari kuwa karibu nami katika kipindi chote cha kulea mimba ili niwe vizuri kisaikolojia na hivyo kutomdhuru mtoto tumboni (si lazima anihudumie kifedha ila tu awe karibu nami).

Baada ya mtoto kuzaliwa ni uamuzi wake kuwa karibu na mawanae au kumpotezea, nishajiandaa kisaikolojia kuwa single mother so sitampa mzigo wowote.
Uliye tayari kunisaidia njoo pm
 
Nimeshaumizwa sana kimapenzi kiasi cha kuamua kuachana kabisa na haya mambo ila nahitaji tu kuzaa Kwa sasa mana umri ushaanza kunitupa mkono. Naomba mwanaume aliyetayari kunizalisha ajitokeze, awe mweupe na mrefu kiasi na awe tayari kuwa karibu nami katika kipindi chote cha kulea mimba ili niwe vizuri kisaikolojia na hivyo kutomdhuru mtoto tumboni (si lazima anihudumie kifedha ila tu awe karibu nami). Baada ya mtoto kuzaliwa ni uamuzi wake kuwa karibu na mawanae au kumpotezea, nishajiandaa kisaikolojia kuwa single mother so sitampa mzigo wowote.
Uliye tayari kunisaidia njoo pm
Mimi mweusi kama pila la gari ila Toto litakua zungu njoo pm faster
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom