Rahajipe
Senior Member
- Oct 29, 2012
- 165
- 63
Waheshimiwa naomba kwa mtu yeyote mwenye Photocopy aina ya CANON NP 2120 tuwasiliane hata kama mbovu kwani mimi nahitaji kupata spare inayojnulikana kwa REGISTRATION ROLLERS. au zile roller zinazovuta karatasi. Kwa yeyote aliyenayo au anayejua fundi wa kuweza kuwa na kitu kama hicho, ani PM tafadhali.
Nawasilisha.
Nawasilisha.