Nishampata tayari, hila mwanzo mgumu, hata mbuyu ulianza kama mchicha, unapoanza kutoa darasa na wanagroup wakawa wanakusikiliza vizuri na kukuelewa...unaweza ukapata tenda au mwaliko kupitia humo humo kwenye group, ukamfunde mwali, inawezekana ikawa hapa hapa dsm, au mikoani, kwa hiyo karibu kwenye group langu dada ake mpendwa.