Natafuta somo au kungwi akatoe somo kwa akina mama na madada

Nguvu moja

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
3,371
2,712
Kwenye group langu la whatsapp nina group kubwa lenye wafuasi wengi east africa, sasa kwa ajili ya elimu na kuliboresha liwe tofauti na mengine kama mdada mwenye utaalam huo yupo, anione whatsapp kwa mawasiliano 0673535345.
 
Darasa bure?
Hide my ID
Nishampata tayari, hila mwanzo mgumu, hata mbuyu ulianza kama mchicha, unapoanza kutoa darasa na wanagroup wakawa wanakusikiliza vizuri na kukuelewa...unaweza ukapata tenda au mwaliko kupitia humo humo kwenye group, ukamfunde mwali, inawezekana ikawa hapa hapa dsm, au mikoani, kwa hiyo karibu kwenye group langu dada ake mpendwa.
 
Naomba link kaka nijifunze vitu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom