concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,258
- 14,283
wadau mwaka huu baada ya kusoma michango ya baadhi ya wadau niliamua kujiingiiza kwenye hiki kilimo hapa nakaribia kuvuna naomba ambae anaweza kujua soko zuri la vitunguu anijulishe nimelima mbeya makadilio ni kuvuna gunia kama 110
namba yangu 0762991257
namba yangu 0762991257