ungesema ulipo. hapa nilipo (kanda ya ziwa) debe/ndoo kubwa (wasukua wanaita Dumu) inauzwa 1,500 hadi 2,000.
jipime bei yako na kwingineno.
Mkuu nipm namba, we can make biz. Mzigo Mara kadhaa tumekuwa tunautafuta kwa ajili ya nchi jirani.Wadau kuna muhogo mkavu, ni muhogo usio mchungu umemenywa ukakaushwa upo vizuri ningependa kujua bei yake jijini mwanza na iwapo soko la kuweza kuuza linapatikana.