S Sophoganyi Senior Member Joined Jun 27, 2017 Posts 104 Reaction score 240 Jul 2, 2017 #1 Habari wana JF, natafuta soko la sungura. Sungura ni wa kizungu aina ya California na New Zealand white. wako na afya nzuri kwani wanapata mlo sahihi na matibabu.
Habari wana JF, natafuta soko la sungura. Sungura ni wa kizungu aina ya California na New Zealand white. wako na afya nzuri kwani wanapata mlo sahihi na matibabu.
sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,851 Reaction score 11,438 Jul 2, 2017 #2 Ngoja kidogo
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,144 Reaction score 166,078 Jul 2, 2017 #3 Weka ka picha basi
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,698 Reaction score 15,433 Jul 2, 2017 #4 Utanifundisha kuwafuga?
kukumdogo JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 2,892 Reaction score 2,803 Jul 2, 2017 #5 Tafuta wale Jamaa wanaofuga chatu.