bigpack1982
Member
- Apr 20, 2011
- 75
- 20
Wasiliana na Falcon Animal Feeds ya Dar es Salaam, huenda wakahitaji bidahaa hiyoHabari wadau,
Natafuta soko la Kuuza Soya,mimi ni mjasiriamali, so far nina soko moja (cliebt mmoja pekee Arusha), iwe ndani ya nchi au nje ya nchi,mwenye info anipatie,iwe hapa jukwaani au PM.
Kuna baadhi ya viwanda hapa nchini hutumia Soya pia kwa ajili ya kutengenezea Mafuta ya kupikia, nikipata eneo hilo la soko itakuwa vema.
Pia kuna baadhi ya viwanda vya kutengeneza chakula cha kuku nao hutumia Soya kama ingredient ya kutengenezea chakula cha kuku.
Nimetaja tu baadhi ya matumizi ili kuweza kutoa picha kwa wanaoweza nisaidia market info ya baadhi ya hayo maeneo niliyoyataja na ambayo sijayataja.
Natanguliza Shukran zenu.
Khaaa!!kuhusu bei kwa kilo,inategemea na soko na soko,hiyo ni siri ya kibiashara ambayo siwezi I expose hapa hadharani.
Wasiliana na Falcon Animal Feeds ya Dar es Salaam, huenda wakahitaji bidahaa hiyo
Habari wadau,
Natafuta soko la Kuuza Soya,mimi ni mjasiriamali, so far nina soko moja (cliebt mmoja pekee Arusha), iwe ndani ya nchi au nje ya nchi,mwenye info anipatie,iwe hapa jukwaani au PM.
Kuna baadhi ya viwanda hapa nchini hutumia Soya pia kwa ajili ya kutengenezea Mafuta ya kupikia, nikipata eneo hilo la soko itakuwa vema.
Pia kuna baadhi ya viwanda vya kutengeneza chakula cha kuku nao hutumia Soya kama ingredient ya kutengenezea chakula cha kuku.
Nimetaja tu baadhi ya matumizi ili kuweza kutoa picha kwa wanaoweza nisaidia market info ya baadhi ya hayo maeneo niliyoyataja na ambayo sijayataja.
Natanguliza Shukran zenu.
Waone "Silverlands Tanzania Limited, a newly established agricultural company focused on animal feed and poultry production based in Iringa Tanzania"
Nimejaribu google contas zao but in vain,
Ndio hao, ni mbele kidogo ya tegeta, pale paitwa NyaishoziAhsante sana mkuu,si ni wale wa Pale Tegeta??
Habari wadau,
Natafuta soko la Kuuza Soya,mimi ni mjasiriamali, so far nina soko moja (cliebt mmoja pekee Arusha), iwe ndani ya nchi au nje ya nchi,mwenye info anipatie,iwe hapa jukwaani au PM.
Natanguliza Shukran zenu.
Habari wadau,
Natafuta soko la Kuuza Soya,mimi ni mjasiriamali, so far nina soko moja (cliebt mmoja pekee Arusha), iwe ndani ya nchi au nje ya nchi,mwenye info anipatie,iwe hapa jukwaani au PM.
Kuna baadhi ya viwanda hapa nchini hutumia Soya pia kwa ajili ya kutengenezea Mafuta ya kupikia, nikipata eneo hilo la soko itakuwa vema.
Pia kuna baadhi ya viwanda vya kutengeneza chakula cha kuku nao hutumia Soya kama ingredient ya kutengenezea chakula cha kuku.
Nimetaja tu baadhi ya matumizi ili kuweza kutoa picha kwa wanaoweza nisaidia market info ya baadhi ya hayo maeneo niliyoyataja na ambayo sijayataja.
Natanguliza Shukran zenu.
Ndugu,
Mie natafuta soya kwa wingi,sijui nitakupataje
Asante,ILA sijui PMnapatikana,PM kwa ajili ya mawasiliano zaidi
nipe ushauri njia boraya kuwasiliana naweAsante,ILA sijui PM
Habari wadau,
Natafuta soko la Kuuza Soya,mimi ni mjasiriamali, so far nina soko moja (cliebt mmoja pekee Arusha), iwe ndani ya nchi au nje ya nchi,mwenye info anipatie,iwe hapa jukwaani au PM.
Kuna baadhi ya viwanda hapa nchini hutumia Soya pia kwa ajili ya kutengenezea Mafuta ya kupikia, nikipata eneo hilo la soko itakuwa vema.
Pia kuna baadhi ya viwanda vya kutengeneza chakula cha kuku nao hutumia Soya kama ingredient ya kutengenezea chakula cha kuku.
Nimetaja tu baadhi ya matumizi ili kuweza kutoa picha kwa wanaoweza nisaidia market info ya baadhi ya hayo maeneo niliyoyataja na ambayo sijayataja.
Natanguliza Shukran zenu.
<br /><br />Ahsante sana,ntajitahidi nami kutafuta contacts zao[quote uid=10655 name="Watu" post=16157814]Waone "<b>Silverlands Tanzania Limited</b>, a newly established agricultural company focused on animal feed and poultry production based in Iringa Tanzania"<br /><br />Nimejaribu google contas zao but in vain,