Natafuta soko la pesa za Ujerumani.

Natafuta soko la pesa za Ujerumani.

ampo

Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
71
Reaction score
32
Habari!
jamani leo ngoja niulize hivi hizi pesa za mjerumani i mean rupia na king geogre soko lake lipo kweli?
Na kama lipo mnaweza kunisaidia lipo wapi? Maana hizi pesa nimekuwa nazo kwa muda sasa bila kujua soko lake.
naombeni msaada wenu jamani!
Number yangu ni0764202064 for any info!
 

Attachments

  • 1406279169393.jpg
    1406279169393.jpg
    36.6 KB · Views: 186
hahahaa, wamekushughulisha halafu wamepotea?...shukuru hawajakuibia! hizo coins siyo rare, lakini unaweza kuziuza ebay, utapata hata $10, kama ulidanganywa ni deal lamabilioni umeumia.
 
Back
Top Bottom