Natafuta Soko la Mihogo

chodoo

Member
Mar 6, 2012
85
33
Nimelima Mihogo aina ya kiroba Eka tatu na sasa iko tayari Kwa ajili ya kuvunwa, Naomba msaada Kwa anayejua Soko zuri la Mihogo ningependa kuuza Kwa jumla.
 
Nimelima Mihogo aina ya kiroba Eka tatu na sasa iko tayari Kwa ajili ya kuvunwa, Naomba msaada Kwa anayejua Soko zuri la Mihogo ningependa kuuza Kwa jumla.

Japo sina hakika kipindi hikii kama ni kizuri kufanya hiyo biashara sababu mihogo mingi haiivi. Lakini pitia masokoni uonane na madalali am sure watakugombea
 
TUMA Neno JAMBO kwenda 0623753016 kisha fata maelekezo ili uweze kuunganishwa na SOKO la mazao ulionayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom