upo Mkuranga?.. mbona wananunuzi wengi wanatoka Mkuranga?... na nakumbuka wiki hii niliwabebea muhogo kwenye gari yangu na wakati narudi wengine niliwakuta Mwarusembe pia wakapakia muhogo niawashushia pale mti pesa-MKURANGA PALE KITUO CHA MJINI nafiri nimesahau jina sawa sawa ila ni barabarani mazao yangu mengine nikapeleka sterio. Mkurima mwenzangu jitahidi tuende na wakati huwe na Angalau Town Ace ya Town 1 au Canter ili upeleke mazao mwenyewe sokoni. Fika pale Mti-pesa stand ya dala dala za mjini wapo wanunuzi wengi wa muhogo. kwa Rufiji Tenga 20,000/=