M M18 Member Joined Jan 3, 2015 Posts 76 Reaction score 28 Aug 3, 2019 #1 Habari ndugu zangu, Natafuta soko la mbegu za ubuyu, kila baada ya cku 3 nakusanya gunia, hivyo wote wenye kazi nazo km kuchanganyia kwnye chakula cha kuku,nguruwe n.k. Naomba ni pm tuyajenge. Check picha ni baadhi ya mbegu zenyewe
Habari ndugu zangu, Natafuta soko la mbegu za ubuyu, kila baada ya cku 3 nakusanya gunia, hivyo wote wenye kazi nazo km kuchanganyia kwnye chakula cha kuku,nguruwe n.k. Naomba ni pm tuyajenge. Check picha ni baadhi ya mbegu zenyewe
BahatiBillionaire Member Joined Jan 25, 2013 Posts 73 Reaction score 98 Apr 24, 2020 #2 Weka Namba zako za simu hapo mkuu.
D doctor of philosophy Member Joined Jul 20, 2024 Posts 43 Reaction score 100 Jul 22, 2024 #3 BahatiBillionaire said: Weka Namba zako za simu hapo mkuu. Click to expand... mkuu natafuta soko la ubuyu,hata kwa matumizi ya kiwandani maana upo wa kutosha
BahatiBillionaire said: Weka Namba zako za simu hapo mkuu. Click to expand... mkuu natafuta soko la ubuyu,hata kwa matumizi ya kiwandani maana upo wa kutosha